Ufafanuzi wa fundua katika Kiswahili

fundua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha, ~za

 • 1

  fungua fundo; ondoa kizibo.

  ‘Fundua chupa’
  fumbua, funua, fichua

 • 2

  chipuka

 • 3

  ondoa shaka au wasiwasi.

  eleza

Matamshi

fundua

/funduwa/