Ufafanuzi wa funga chombo katika Kiswahili

funga chombo

msemo

  • 1

    zuia chombo kwa kamba ili kisicheze na kuondoka.