Ufafanuzi wa fungama katika Kiswahili

fungama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya kubana au kukaza.

Matamshi

fungama

/fungama/