Ufafanuzi wa funganyumba katika Kiswahili

funganyumba

nominoPlural funganyumba

  • 1

    mti mrefu wenye matawi mengi, miba na maua mengi ya manjano.

  • 2

    hutumika kama dawa ya sumu ya nyoka.

Matamshi

funganyumba

/fungaɲumba/