Ufafanuzi wa fungasha katika Kiswahili

fungasha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

 • 1

  vuta nyuma kwa kamba k.v. mashua inavyovuta nyingine.

 • 2

  kuwa na kitu kinachofuata nyuma; funga kitu nyuma ya kitu kingine.

 • 3

  kusanya na kufunga haraka.

 • 4

  (ms) kuwa na matako makubwa.

Matamshi

fungasha

/funga∫a/