Ufafanuzi msingi wa fungo katika Kiswahili

: fungo1fungo2fungo3

fungo1

nominoPlural mafungo, Plural fungo

 • 1

  muda wa kujinyima kwa hiari chakula, maji na vinginevyo; muda wa kufunga.

 • 2

  namna ya kufunga.

 • 3

  dhamana

Matamshi

fungo

/fungɔ/

Ufafanuzi msingi wa fungo katika Kiswahili

: fungo1fungo2fungo3

fungo2

nominoPlural mafungo, Plural fungo

 • 1

  mnyama kama pakamwitu na mdogo kuliko ngawa.

Matamshi

fungo

/fungɔ/

Ufafanuzi msingi wa fungo katika Kiswahili

: fungo1fungo2fungo3

fungo3

nominoPlural mafungo, Plural fungo

 • 1

  dawa iliyotengenezwa kwa mizizi ya ndago ambayo husaidia meno ya mtoto kuota imara.

Matamshi

fungo

/fungɔ/