Ufafanuzi msingi wa fungu katika Kiswahili

: fungu1fungu2

fungu1

nominoPlural mafungu, Plural fungu

 • 1

  rundo dogo la kitu au vitu.

  ‘Fungu la nyama’
  ‘Fungu zima’
  ‘Fungu la fedha’
  sehemu, aria, gawio, gawo, mgawo

 • 2

  chungu la mchanga baharini.

 • 3

  aya ya maandishi au muziki.

  ‘Fungu la maneno’
  sentensi

 • 4

  hisa

 • 5

  ibara ya sheria.

  sehemu

Matamshi

fungu

/fungu/

Ufafanuzi msingi wa fungu katika Kiswahili

: fungu1fungu2

fungu2

nominoPlural mafungu, Plural fungu

 • 1

  mmea wenye rangi ya manjano na maua ya kijani, hutumiwa kwa ajili ya mboga.

Matamshi

fungu

/fungu/