Ufafanuzi wa fungulia katika Kiswahili

fungulia

kitenzi elekezi

  • 1

    fungua mlango ili kilichoko ndani au nje kipate kutoka au kuingia.

Matamshi

fungulia

/fungulija/