Ufafanuzi wa fungutenzi katika Kiswahili

fungutenzi

nominoPlural mafungutenzi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    sehemu ya sentensi yenye kitenzi na maneno mengine yanayoambatana na kitenzi k.v. kielezi, kihusishi au yambwa.

Matamshi

fungutenzi

/fungutɛnzi/