Ufafanuzi wa funika katika Kiswahili

funika

kitenzi elekezi

  • 1

    weka kitu juu ya kingine ili kilichoko chini yake kisionekane.

    ‘Funika chungu’
    ficha, fuchama, sitiri, fidika