Ufafanuzi msingi wa funza katika Kiswahili

: funza1funza2

funza1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  fundisha, hasa mambo ya adabu na tabia.

  lea, darisi, funda

Matamshi

funza

/funza/

Ufafanuzi msingi wa funza katika Kiswahili

: funza1funza2

funza2

nominoPlural funza

 • 1

  mdudu mdogo kama kiroboto ambaye huingia katika miguu ya watu na wanyama.

  tekenya

 • 2

  bombwe, buu

Matamshi

funza

/funza/