Ufafanuzi wa fuo katika Kiswahili

fuo

nominoPlural mafuo

 • 1

  mahali maalumu ambapo madobi hufulia nguo.

  madobini

 • 2

  tendo la kufua.

 • 3

  povu, ukafu

Matamshi

fuo

/fuwɔ/