Ufafanuzi wa fupi katika Kiswahili

fupi

kivumishi

  • 1

    -sio ndefu.

    chinjo

  • 2

    -enye maneno machache.

    ‘Hotuba fupi’

Matamshi

fupi

/fupi/