Ufafanuzi wa furahi katika Kiswahili

furahi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kuwa katika hali ya ukunjufu wa moyo.

  changamka, chata

 • 2

  ridhika

 • 3

  starehe

Asili

Kar

Matamshi

furahi

/furahi/