Ufafanuzi wa furahifu katika Kiswahili

furahifu

kivumishi

 • 1

  -enye furaha.

  changamfu, kunjufu, furufu

 • 2

  -enye kuridhika.

 • 3

  -enye kustarehe.

Asili

Kar

Matamshi

furahifu

/furahifu/