Ufafanuzi wa furika katika Kiswahili

furika

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    jaa tele mpaka kumwagika; ongezeka kupita kiasi.

    ‘Mto umefurika’

Matamshi

furika

/furika/