Ufafanuzi wa furu katika Kiswahili

furu

nominoPlural furu

  • 1

    tunda la porini ambalo huwa jeusi linapoiva; tunda la mfuru.

Matamshi

furu

/furu/