Ufafanuzi wa furufuru katika Kiswahili

furufuru

nominoPlural furufuru

  • 1

    hali ya kucharukwa.

  • 2

    wingu

Matamshi

furufuru

/furufuru/