Ufafanuzi msingi wa furungu katika Kiswahili

: furungu1furungu2

furungu1

nominoPlural mafurungu

  • 1

    aina ya limau; tunda la mfurungu.

Asili

Kaj

Matamshi

furungu

/furungu/

Ufafanuzi msingi wa furungu katika Kiswahili

: furungu1furungu2

furungu2

nominoPlural mafurungu

  • 1

    kikuku cha kuvaa miguuni; kibangili.

    kugesi, mtali

Asili

Kaj

Matamshi

furungu

/furungu/