Ufafanuzi wa futari katika Kiswahili
futari
nominoPlural futari
Kidini- 1
Kidini
chakula cha kwanza kinacholiwa magharibi na mtu aliyefunga baada ya kumaliza saumu yake. - 2
Kidini
chakula k.v. muhogo, viazi, ndizi, kunde, n.k. wakati wa mfungo.‘Ameenda sokoni kununua futari’
Asili
Kar