Ufafanuzi wa futikamba katika Kiswahili

futikamba

nominoPlural futikamba

  • 1

    utepe mrefu uliogawanywa katika vipimo vya urefu, agh. sentimita na mita, ambao hutumiwa kupima urefu wa kitu k.v. mbao au kiwanja.

    futi

Matamshi

futikamba

/futikamba/