Ufafanuzi wa futuka katika Kiswahili

futuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    chukia kwa sababu ya maneno ya mtu.

    kasirika, tuna, fura

  • 2

    enda mbio kwa ghafla.

Matamshi

futuka

/futuka/