Ufafanuzi wa futuza katika Kiswahili

futuza

nomino

  • 1

    kibofu cha mkojo cha mnyama ambacho watoto hukijaza pumzi na kuchezea kama mpira.

  • 2

    kitu cha uwazi ndani kilichojazwa upepo kama vile mpira.

    tufe, purutangi

Matamshi

futuza

/futuza/