Ufafanuzi msingi wa fuu katika Kiswahili

: fuu1fuu2fuu3

fuu1

nominoPlural mafuu, Plural fuu

 • 1

  tunda jeusi na dogo kama kunazi; tunda la mfuu.

Matamshi

fuu

/fu:/

Ufafanuzi msingi wa fuu katika Kiswahili

: fuu1fuu2fuu3

fuu2

nominoPlural mafuu, Plural fuu

 • 1

  kitu kigumu, agh. cha mviringo, chenye uwazi ndani.

  fuvu, bupuru, bufuru

Matamshi

fuu

/fu:/

Ufafanuzi msingi wa fuu katika Kiswahili

: fuu1fuu2fuu3

fuu3

nominoPlural mafuu, Plural fuu

 • 1

  kaa wa pwani.

  kisagaunga

Matamshi

fuu

/fu:/