Ufafanuzi wa fuwawe katika Kiswahili

fuwawe, fuwe

nominoPlural fuwawe

  • 1

    aina ya jiwe la pwani lililo laini ambalo unga wake hutumika kwa kupigia mswaki.

Matamshi

fuwawe

/fuwawɛ/