Ufafanuzi msingi wa fyata katika Kiswahili

: fyata1fyata2

fyata1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iza, ~iwa, ~wa

 • 1

  kaza kitu katikati ya mapaja kama mikono au nguo.

 • 2

  zuia ulimi; kaa kimya.

  nyamaza

 • 3

  piga kwa kitu k.v. fimbo au kiboko.

Matamshi

fyata

/fjata/

Ufafanuzi msingi wa fyata katika Kiswahili

: fyata1fyata2

fyata2

nominoPlural fyata

Matamshi

fyata

/fjata/