Ufafanuzi wa fyatua katika Kiswahili

fyatua

kitenzi elekezi

  • 1

    achia ghafla kitu kilichokazwa mfano wa mtambo wa bunduki, upinde au mtego.

    ‘Panya amefyatua mtego’
    ‘Fyatua matofali tengeneza matofali kwa mashine’

Matamshi

fyatua

/fjatuwa/