Ufafanuzi wa fyatuka katika Kiswahili

fyatuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    toka kwa nguvu na kwa haraka.

    fyuka

Matamshi

fyatuka

/fjatuka/