Ufafanuzi wa fyeka katika Kiswahili

fyeka

kitenzi elekezi

  • 1

    kata miti ili iwe mifupi au nyasi ili ziwe fupi.

    ‘Fyeka mwitu’

  • 2

    ua adui wakati wa vita bila ya kubakiza.

Matamshi

fyeka

/fjɛka/