Ufafanuzi wa fyekua katika Kiswahili

fyekua

kitenzi elekezi

  • 1

    toa mchanga kwa nyuma wakati wa kukimbia; enda sana.

Matamshi

fyekua

/fjɛkuwa/