Ufafanuzi wa fyoa katika Kiswahili

fyoa, fyosa, fyoza

transitive verb

  • 1

    laghai au danganya kwa namna ya ujeuri.

    tania, kebehi