Ufafanuzi msingi wa fyua katika Kiswahili

: fyua1fyua2

fyua1

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~liwa, ~sha, ~liana, ~lisha

 • 1

  kata mashuke ya mtama, mpunga au ngano.

 • 2

  vuna nafaka kwa kupurura au kukata.

  chenga

Ufafanuzi msingi wa fyua katika Kiswahili

: fyua1fyua2

fyua2

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~liwa, ~sha, ~liana, ~lisha

 • 1

  toa maneno ya upuuzi.

  tania, cheza, sagua

Matamshi

fyua

/fjuwa/