Ufafanuzi msingi wa fyuka katika Kiswahili

: fyuka1fyuka2

fyuka1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ruka kwa kitu kutoka pale kilipokaziwa; fyatuka kwa mtego.

    fyatuka

Matamshi

fyuka

/fjuka/

Ufafanuzi msingi wa fyuka katika Kiswahili

: fyuka1fyuka2

fyuka2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    katika ghafla kwa k.v. simu.

    ‘Tulikuwa tunaongea kwenye simu za mkononi, mara nikasikia simu ya mwenzangu imefyuka’

Matamshi

fyuka

/fjuka/