Ufafanuzi wa gagamiza katika Kiswahili

gagamiza

kitenzi elekezi

  • 1

    penyeza kwa nguvu.

    zongomeza, dudumia

Matamshi

gagamiza

/gagamiza/