Ufafanuzi wa gahamu katika Kiswahili

gahamu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kataa kuendelea na jambo.

    susa, goma, gusu

Matamshi

gahamu

/gahamu/