Ufafanuzi wa gaidi katika Kiswahili

gaidi

nominoPlural magaidi

  • 1

    mwizi wa kuvizia watu nje ya mji.

    mnyang’anyi, haramia

  • 2

    mtu anayefanya vitendo vya uhalifu kwa sababu za kisiasa, kidini au kiuchumi.

Asili

Kar

Matamshi

gaidi

/gaIdi/