Ufafanuzi wa gali katika Kiswahili

gali, gale

nominoPlural gali

  • 1

    karatasi iliyochapwa kwa maandishi makubwa ili kufanyia masahihisho kabla ya kuchapisha kitabu au jarida.

Asili

Kng

Matamshi

gali

/gali/