Ufafanuzi wa galme katika Kiswahili

galme

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    tanga dogo la jahazi.

Asili

Kar

Matamshi

galme

/galmÉ›/