Ufafanuzi wa galoni katika Kiswahili

galoni

nominoPlural galoni

  • 1

    kipimo cha ujazo kadiri ya lita 4.54 au pishi mbili.

Asili

Kng

Matamshi

galoni

/galɔni/