Ufafanuzi wa gameti katika Kiswahili

gameti

nominoPlural gameti

  • 1

    seli ya uzazi iliyokomaa.

Asili

Kng

Matamshi

gameti

/gamɛti/