Ufafanuzi msingi wa ganda katika Kiswahili

: ganda1ganda2

ganda1

nominoPlural maganda

 • 1

  sehemu ya nje ya k.v. tunda, yai au hindi.

Matamshi

ganda

/ganda/

Ufafanuzi msingi wa ganda katika Kiswahili

: ganda1ganda2

ganda2

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  geuka kuwa ngumu au nzito k.m. maziwa, damu, maji.

  ‘Maziwa ya kuganda’
  mamania

 • 2

  fanya kitu kiwe kigumu na kuwa barafu.

  shika, nata, ambata, jamidi, data

Matamshi

ganda

/ganda/