Ufafanuzi wa gandalo katika Kiswahili

gandalo

nominoPlural magandalo

  • 1

    pingu za mti zinazotumika kufungia mhalifu.

    mkatale, gogoo

Matamshi

gandalo

/gandalɔ/