Ufafanuzi wa gandamiza katika Kiswahili

gandamiza, kandamiza

kitenzi elekezi

  • 1

    shindilia kitu k.v. mkono juu ya kitu kingine.

    bana, limatia

  • 2

    tawala kwa kutumia uonevu, dhuluma, nguvu na vitisho.