Ufafanuzi wa gangrini katika Kiswahili

gangrini

nominoPlural gangrini

  • 1

    ugonjwa unaoshambulia sehemu za mwili ambazo hazifikiwi na damu na kusababisha sehemu hizo kuoza.

Asili

Kng

Matamshi

gangrini

/gangrini/