Ufafanuzi wa ganjo katika Kiswahili

ganjo

nominoPlural maganjo

  • 1

    mahali palipohamwa.

    ‘Wapiga mbiu ganjoni utasikiwa na nani?’
    tongo, mahame

Matamshi

ganjo

/ganʄɔ/