Ufafanuzi wa ganza katika Kiswahili

ganza

kitenzi sielekezi

  • 1

    sema kwa kukokoteza maneno.

    sita

Matamshi

ganza

/ganza/