Ufafanuzi wa ganzi katika Kiswahili

ganzi

nominoPlural ganzi

 • 1

  hali inayofanya mishipa ya hisi ikose hisi.

  ‘Kufa ganzi’
  ‘Ugonjwa wa ganzi’
  ‘Tia ganzi’
  kibibi

 • 2

  kiharusi, faliji

Matamshi

ganzi

/ganzi/