Ufafanuzi wa gaogao katika Kiswahili

gaogao

nomino

  • 1

    samaki mwenye umbo bapa, lisilo na ulinganifu, macho yote mawili upande mmoja wa kichwa, rangi nyeupe tumboni na ya kijivu mgongoni.

Matamshi

gaogao

/gawɔgawɔ/