Ufafanuzi msingi wa garagaza katika Kiswahili

: garagaza1garagaza2

garagaza1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    fanya kitu au mtu aviringike.

    geuza, vingirisha

Matamshi

garagaza

/garagaza/

Ufafanuzi msingi wa garagaza katika Kiswahili

: garagaza1garagaza2

garagaza2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    shambulia au shinda mtu au timu katika michezo.

Matamshi

garagaza

/garagaza/