Ufafanuzi wa gati katika Kiswahili

gati

nomino

  • 1

    mahali pa kushukia pwani kutoka chomboni.

    guda, bunta

Asili

Kar / Khi

Matamshi

gati

/gati/